BBC DIRA YA DUNIA IJUMAA 01.09.2017

Share it with your friends Like

Thanks! Share it with your friends!

Close

Ungana na Zuhura Yunus na Mariam Omar kupata habari, maelezo, uchambuzi, maoni na michezo kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili

Comments

Emma Bays says:

sheria laxima zifatwe kwa.sasa.funzo kwa ulimwengu mzima.tumechoka na dhuluma zakistoria kenya mpya tunaihitaji.yawizi

Eliackim Simoni says:

Sipati picha cku ikitokea Tanzania… wkt huo Kenya itakua kama Marekani

Mrutu Sudi says:

hii ndio Kenya mahakama imeamua na kwasababu mahakama haigemei upande wowote ndio maana historia imeandikwa Leo kenya,

Mtoshu Gilbert says:

wale mabeberu wataishangaa sana hii

babuu nyamahala TV says:

Africa sasa inaamuka hii ije na huku kwetu tanzania

Abdallah Alwardi says:

Hongera sana, nifunzo kwa watawala wanaokwepa katiba na sheria halali !! "#amazing" !!

Write a comment

%d bloggers like this: