BBC DIRA YA DUNIA JUMANNE 30.01.2018

Share it with your friends Like

Thanks! Share it with your friends!

Close

Ungana na Zuhura Yunus kupata habari, maelezo, uchambuzi, maoni na michezo kutoka Idhaa ya Kiswahili ya BBC

Comments

Ruben Mangi says:

Raila hakushindwa

steve lumumbah says:

Mnapotosha dunia kuwa odinga alishindwa ilhali mnajua kweli kura iliibiwa kenya

Jeff Moddo says:

duuuuu yana police wa kenya wapo na love ya kutosho kabisa tz sas ???

Shabani Mambo says:

Kenya matatzo ikulu gan ataingia odinga

Wlkm Wlkm says:

Wewe mamawacha ujinga Uhuru aliiba kura. Sio Raila uliza vizuri ndio utangaze pumbavu wewe

Stella Nafuna says:

Eti Ajipisha wewe RAILA Alishinda kura na akaipiwa kwani we ulikuwa vile unasema hakushinda.
Naona ukifutwa kazi.

Edward Marwa says:

Kenyatta kaonesha ukomavu

myingu lucas says:

aamani ya  Kenya iko mikononi mwa odinga  hivywo asipuuzwe

Chuma Mihambo says:

mandoto ya mchana yanamsumbua

Mishi Saidi says:

point of correction zuura Raila haja shindwa uchaguzi wa mwaka jana

CineFxMedia limited says:

hizi habari za bbc ni potovu… mwanzo raila akushindwa kwenye uchaguzi..mwungano wa nasa ulisusia uchagusi kwa hivyo sielewi mbona mnasema alishindwa… ya pili ripota wa bbc kutoka Nairobi(soi) hajazingatia kanuni za journalism.. she was not asked for her personal opinion .. as a reporter she should report facts…. not play by the rules of the regime..i am dissapointed BBC… i like how aljazera reported the same issue….. sorry

Fredy John Waifakara Tz says:

KWELI ODINGA NI MWEHU

Dr Kesy John says:

hongera sana Uhuru kwa kutojingiza kwenye huo mtego

Pantaleo Kulaya says:

wanasheherekea ujinga.

Africanboy Yefta benjamin yeftaa benjamin says:

Thanks for newz

Faridah Hamza says:

Watanzania tuilinde lulu yetu ya amani isipotee mana kongo, Sudan, na nchi nyingine tunaona wanavyoteseka kukimbia makazi yao, CCM OYEEEEEE

Chuma Mihambo says:

hongera Uhuru kunyesha aman

Bosi Abu says:

Pumbavu yenu bbc hivi hamna hata haya kusema raila alishindwa

Write a comment

*

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

%d bloggers like this: